MANYARA LEO BLOG

Jumamosi, 6 Juni 2015

ZOEZI LA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU KUANZA WIKI IJAYO MANYARA

Grace Msovela's photo.
Grace Msovela's photo.
Grace Msovela's photo.
Afisa mwandikishaji msaidizi Shadrack Baruti akitoa maelezo ya uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR kwa viongozi wa vyama vya siasa wa Wilaya ya Babati Mjini, zoezi la uandikishaji linatarajia kuanza rasmi tarehe 09/6/2015 hadi tarehe 09/7/2015 Mkoani Manyara.
Grace Msovela's photo.

Arusha Newsroom at 06:12:00
Shiriki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Inaendeshwa na Blogger.