Jumanne, 27 Oktoba 2015
DK. CHEGENI AIBUKA KIDEDEA UBUNGE JIMBO LA BUSEGA
Dk Rafael Chegen akiwa mwenye furaha baada ya kutangazwa mshindi wa ubunge jimbo la Busega. Dk Chegeni amepata kura 40,977 na kumwacha mpinzani wake kwa tofauti ya kura 13,982 Devid Nicas wa chama cha Chadema aliyepata kura 26,995 na wa UDP Zangi Robart aliyepata kura 1890.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni