Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuelekea wodini wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pnda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jumanne, 22 Novemba 2016
MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA
Waziri Mkuu, Kaasim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuelekea wodini wakati alipokwenda kwenye hospitali ya mkoa wa Dodoma kumjulia hali Mzee Xavery Kayanza Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Novemba 22, 2016. Mzee Pnda amelazwa kwenye hospitali hiyo kwa matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni