MAJALIWA ASALIMIANA NA WALEMAU BUNGENI
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watu Wenye Ulemavu kutoka Dar es
salaam kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 8, 2016.
Watu hao Wenye Ulemavu ni miongoni mwa wengi waliotembelea bunge.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni