Msajili
wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Kulia aliyeinama) akisaini Kitabu
cha Wageni wakati alipowasili kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa
wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wanaomtazama ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila
(Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J.
Assenga (Kushoto).
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kushoto)
akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo.
Katibu
wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Neema C. John (Kushoto) akisoma
agenda za Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Msajili
wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Wapili Kulia) akifafanua jambo
wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
Mmoja
wa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Migangala S. Milenge
(Katikati) akichangia mada wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi
wa Benki hiyo. Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Benki hiyo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kulia)
akifafaua hoja mbalimbali wakati wa Mkutano huo. Kushoto ni Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Washiriki
wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo
Tanzania (TADB) wakiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Hazina, Bw.
Lawrence N. Mafuru (Katikati waliokaa) mara baada ya kumalizia Mkutano
huo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni