RAIS WA ZAMBIA AONDOKA NCHINI KUREJEA NYUMBANI
Rais
John Magufuli akiagana na Rais wa Zambia, Edgar Chagwa Lungu kwenye
uwanja wa ndege wa Julius Kambarage Nyerere wakati mgeni huyo
alipoondoka nchini kurejea nyumbani Novemba 29, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni