RAIS DKT MAGUFULI AREJEA NCHINI LEO BAADA YA ZIARA YA KISERIKALI YA SIKU MBILI KENYA


rej1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiteremka kwenye ndege baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne Novemba 1, 2016
rej2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne Novemba 1, 2016
rej3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili eo Jumanne Novemba 1, 2016
rej4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea Nairobi, Kenya, alikokuwa katika ziara ya Kiserikali ya siku mbili leo Jumanne Novemba 1, 2016

EALA SPEAKER CALLS ON H.E. BENJAMIN WILLIAM MKAPA


EALA Speaker, Rt. Hon. Daniel F. Kidega yesterday paid a courtesy call on the former President of the United Republic of Tanzania and the Facilitator of the Inter-Burundi Dialogue, H.E. Benjamin William Mkapa, in Dar es Salaam, Tanzania.
 

Discussions centred on peace and security in the region with H.E. Benjamin William Mkapa ascertaining the region had no option but to ensure tranquil is sustained for its progress and development.
 

H.E. Benjamin William Mkapa reiterated the need for the Partner States and the Community to stand by each other and to harness the strengths in order for the bloc to progressively move forward.
 

H.E. Mkapa said the Inter-Burundi dialogue remained a priority of the EAC, stating his intention to separately meet in the coming week with the Chair of the Summit of EAC Heads of State, H.E. Dr John Pombe Joseph Magufuli and the Mediator of the Inter-Burundi Dialogue, President of the Republic of Uganda, H.E. Yoweri Museveni for further consultations. 

The Facilitator, H.E. Benjamin William Mkapa expressed hope that the Dialogue process would bring all Burundians to a common understanding that will result in peace, democracy and prosperity in the country.
On his part, the EALA Speaker said that the EAC had a fundamental role to ensure sustenance of peace in all the Partner States. He remarked that Burundi was showing signs of tranquility, but added that there was increasing need to re-integrate all its citizens. 

The Speaker reiterated that one of the issues that underpin integration is that of finding solutions to the problems that may bedevil the Partner States, which he termed as “part of enhancing the bonds of sisterhood”. 

He lauded the Summit of EAC Heads of State for recently directing that additional resources geared towards the Inter-Burundi Dialogue be availed. He informed H.E. Benjamin William Mkapa the Assembly was eager and keen to debate and approve a Supplementary Budget on the same. 

The Speaker said EALA would also dispatch a team of Members from two Committees, Committee on Trade and Investments and that of Regional Affairs and Conflict Resolution to the border of Burundi and Rwanda to investigate on claims of restriction of goods and movement of persons at the border-point.

GERMAN AMBASSADOR PAYS COURTESY CALL AT THE EAC SECRETARIAT


(L-R) The Head of EAC Regional Cooperation at the German Embassy in Dar es Salaam, Ms. Lena Thiede, the German Ambassador to Tanzania and the EAC, H.E. Ergon Kochanke, GIZ Programme Manager; Bernd Multhaup, and the EAC Deputy Secretary General in charge of Productive and Social Sectors, Mr. Christophe Bazivamo, when the German envoy paid a courtesy call at the EAC Headquarters.
(L-R) EAC Deputy Secretary General in charge of Productive and Social Sectors; Mr. Christophe Bazivamo, and the German Ambassador to Tanzania and the EAC, H.E. Egon Kochanke at the EAC Headquarters.

The German Ambassador to the United Republic of Tanzania and the East African Community, H.E. Egon Kochanke, today paid a courtesy call at the EAC Secretariat.

H.E. Kochanke was received at the EAC Headquarters by Hon. Christophe Bazivamo, the EAC Deputy Secretary General (DSG) in charge of Productive and Social Sectors, on behalf of the EAC Secretary General, Amb. Liberat Mfumukeko.

H.E. Kochanke congratulated Mr. Bazivamo on his recent appointment as DSG at the Heads of State Summit held in Dar-es-Salaam on 8th September, 2016.

The DSG and the German envoy discussed, among other things, how to strengthen the EAC-German cooperation for purposes of accelerating the integration process.

The German Ambassador expressed his country’s willingness to support the integration agenda by contributing to the Partnership Fund, which he described as a good instrument that enables EAC to directly access funds to facilitate myriad activities and programmes within the region.

Commenting on the progress of the dialogue process for Burundi Peace Talks, the German Ambassador hailed the Facilitator of the Inter-Burundi Dialogue, former President of the United Republic of Tanzania, H.E. Benjamin William Mkapa for being able to mobilize a large number of representatives to attend the dialogues.

Hon. Bazivamo also briefed H.E Kochanke on the status of EAC-EU-EPA; peace and security restoration and mediation dialogues in Burundi; as well as the status and procedure of integrating the Republic of South Sudan into the EAC.

He thanked the German government for its generous support to the EAC over the years, adding that the German government had extended 67 million Euros, which funds were channeled to finance various initiatives within the region for three years from 2015, for instance, the health and pharmaceutical sectors as well as LVFO projects among others.

Hon. Bazivamo noted that the Community was working to achieve the most important milestones within the Customs Union (Single Customs Territory) and the Common Market protocol, which milestones he added would enable the benefits of integration to trickle down to the people of East Africa. 


He noted that the trickle down effects would enable the people to appreciate and embrace the integration process. This is the only way they will be fully aware of the integration process.”
 

Amb. Kochanke was accompanied by Ms. Lena Thiede, Counsellor/Head of EAC Regional Head of Cooperation at the German Embassy in Dar-es-Salaam, and Mr. Bernd Multhaup, GIZ Programme Manager at the EAC Secretariat.

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA JANA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida Kaskazini , Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

LOWASSA NA SUMAYE WAIBUKIA BUNGENI DODOMA


Aliyekuwa Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo asubuhi wamehudhuria Bungeni ambapo kimeanza kikao cha kwanza cha mkutano wa tano wa Bunge la 11, mjini Dodoma.
Mawaziri hao wastaafu walioihama CCM na kuhamia CHADEMA walikwenda mjini Dodoma kutoa somo kwa wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na wabunge wa CCM wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA NAIROBI SOUTHERN BYPASS KATIKA ENEO LA KAREN NCHINI KENYA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika eneo ka Karen jijini Nairobi kwa ajili ya kufungua rasmi barabara ya kupunguza msongamano ya Nairobi Southern Bypass nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa mara baada ya kuwasili katika eneo la Karen jijini Nairobi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Naibu Rais wa Kenya William Rutto pamoja na viongozi wengine, wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya kupunguza msongamano ya Nairobi Southern Bypass nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Karen nchini Kenya mara baada ya kufungua barabara ya Nairobi Southern Bypass nchini Kenya.




                            Sehemu ya barabara hiyo ya Nairobi Southern Bypass nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakicheza wimbo pamoja na kikundi cha kwaya katika eneo la Karen mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Nairobi Southern Bypass nchini Kenya.






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Bi. Lucy Karuga kuhusu usindikaji wa mazao ya chakula katika kiwanda cha Maziwa cha Eldoville katika eneo la Karen nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia usindikaji wa Samli katika kiwanda hicho cha maziwa cha Eldoville nchini Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais Uhuru Kenyatta pamoja na Rais Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea mama huyo nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mama Ngina Kenyatta mama mzazi wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipomtembelea nyumbani kwake Nairobi nchini Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na Mama yake Rais Uhuru Kenyatta Mama Ngina Kenyatta jijini Nairobi nchini Kenya. PICHA NA IKULU

BENCHMARK WITH THE BEST IN THE WORLD, EAC PARTNER STATES URGED


 Former EAC Secretary General, Hon. Amanya Mushega, gives the keynote address at the opening of the EAC-EU-IMF Conference on EAC integration in Arusha.

 The Head of the EU Delegation to Tanzania, Hon. Roeland Van de Geer addressing delegates at the EAC-EU-IMF Conference on regional integration in East Africa.

 IMF African Department Director, Mr. Abebe Aemro Selassie, speaks at the opening of the EAC-EU-IMF Conference on EAC Integration in Arusha, Tanzania.

EAC Deputy Secretary General (Finance and Administration), Hon. Jesca Eriyo, making her remarks during the official opening of the EAC-EU-IMF Conference on EAC integration.
Na Mahmoud Ahmad Arusha
Jumuiya ya Afrika mashariki,shirika la Fedha duniani(IMF)na mashirika yasio ya kiserikali kutoka nchi za jumuiya hiyo yamekutana kujadili masuala ya mtangamano wa Soko la pamoja na forodha ya pamoja itakayopelekea kuwa na fedha ya Pamoja ifikapo mwaka 2024.
Akizungumza katika mkutano huo uliokuwa ukijadili masuala ya kitakwimu yatakayopelekea kuwa na Fedha ya pamoja ifikapo mwaka 2024  Naibu Katibu mkuu wa Jumuiya hiyo Jesca Erio alisema kuwa mkutano huo ni muhimu katika kukuza na kuendeleza jumuiya ilikufikia malengo kusudiwa ya kuwa na fedha ya pamoja.
Erio alisema kuwa mkutano huo wa siku mbili uliowakutanisha watunga sera magavana wa benki kuu, wangalizi na wasimamizi wa soko,Mashirika yasio ya kiserikali na sekta binafsi kutoka nchi wanachama wa jumuiya hiyo kujadili changamoto na mafanikio ya soko la pamoja na ushuru wa forodha itakayopeleka kuwa na fedha ya pamoja.
Alisema suala la takwimu za kiuchumi ni suala mtambuka linalohitajika kulifanyia kazi na kujua ni jinsi gani unaweza kulifanikisha katika kuweza kupata na kufanikiwa kuweza kufikia fedha ya pamoja ifikapo mwaka 2024.
“Kuwa na Uchumi imara katika nchi wanachama itapelekea kuwa na nguvu za kiuchumi kwa mataifa ya jumuiya yetu hivyo kuna kila sababu ya kuangalia na kujua uchumi wa nchi moja moja itakaotufikisha kwenye malengo ya maendeleo ya kiuchumi kama jumuiya”aliongeza Erio.
Alisema kupata takwimu sahihi za kiuchumi hususani maeneo ya Vijijini imekuwa ni changamoto kubwa kwa maeneo mengi ya nchi wanachama ambapo uongozaji wa maendeleo kwa takwimu za nchi zetu katika kukuza maendeleo pia imekuwa ikiyumba mara kwa mara.
Suala la ukusanyaji wa mapato bado limekuwa changamoto kubwa katika kukuza uchumi wa nchi zetu ambapo bado kumekuwa na uchelewaji wa kupata takwimu katika uzazi na vifo na kuwa na taarifa zisizo kamili kwa nchi zetu,
“Uwekezaji wa Elimu,Afya bado imeonekana kuwa na chnagamoto kubwa kutokana na kutokuwa na usahihi wa kitakwimu hali inayopekea kutoweza kuwa na bajeti nzuri katika maeneo hayo”aliongeza Erio