Msafara
wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, ukiwasili kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Mkoani
Njombe Agosti 31, 2015.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, NJOMBE.
PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, NJOMBE.
Umati
wa wananchi wa Mji wa Makambako, Mkoani Njombe wakiwa wamekusanyika
kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, wakati wa Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa.
Shangwe za wananchi wa Makambako katika Mkutano huo.
Mbunge
aliemaliza muda wake wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk
akisisitiza jambo kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Njombe.
Umati wa Wananchi wa Njombe.
Waziri
wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Lawrence Masha akihutubia
kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja Polisi Makambako, Agosti 31, 2015.
Waziri
Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akimuonyesha kitu (hakipo
pichani), Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Njombe.
Taswira zikichukuliwa.
Waziri
Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi, Makambako
Agosti 31, 2015.
Wadau Mkutanoni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Makambako, waliofurika kwa wingi wenye
Polisi Makambako, Mkoani Mkoani Njombe Agosti 31, 2015,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, NJOMBE.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Makambako, Mhema Oraph, wakati wa
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Polisi Makambako, Mkoani Njombe Agosti 31, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akipongeza na baadhi ya Wagombea Udiwaki wa Kata mbali mbali za Mji wa
Makambako, Mkoani Njombe baada ya kuhutubia Mkutano wake wa Kampeni.
Lowassa akiondoka Uwanjani hapo baada ya kumalizika kwa Mkutano wake wa Kampeni.
Baada
ya kumaliza Mkutano katika Mji wa Makambako, Mh. Lowassa na Msafara wake
walielekea Njombe Mjini na mapokezi yake yalikuwa kama ionekanavyo
hapa.
Hivi ndivyo walivyompokea Lowassa wana Njombe Mjini.
Wakielekea Jukwaa kuu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni