
 Msafara
 wa Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na 
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ukichanja mbuga kutokea jijini 
Tanga kuelekea jijini Dar es salaam.
Sehemu
 ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, 
wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha 
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, azungumze nao wakati akiwa safarini kwa kuelekea jijini Dar es 
salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea
 Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Muheza 
Mkoani Tanga, waliofunga barabara ili azungumze nao  wakati akiwa safarini kwa kuelekea Dar es salaam kwa njia ya 
barabara akitokea Mkoani Tanga.PICHA NA OTHMAN MICHUZI.
Mgombea
 Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa 
Jimbo la Muheza wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA).

Umati wa wakazi wa mji wa Muheza.
Ilikuwa ni furaha kwa kila aliemuona Mh. Lowassa alipokuwa akizungumza nao.
Mgombea
 Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Mji wa Muheza 
Mkoani Tanga, mara baada ya kuzungumza nao, wakati akiwa safarini kwa 
kuelekea Dar es salaam kwa njia ya barabara akitokea Mkoani Tanga.
Mgombea
 Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Chuo cha 
Walimu Korogwe, Mkoani Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Waziri
 Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa 
Korogwe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Chuo 
cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga  Septemba 29, 2015.
Mgombea
 Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo 
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Korogwe, 
Mkoani Tanga, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa 
Chuo cha Walimu Korogwe, Mkoani Tanga .


































Hakuna maoni:
Chapisha Maoni