Spika wa Bunge ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne
Makinda akiongea na Ujumbe wa Tume ya
Utumishi kutoka Bunge la Nigeria walipomtembelea leo Ofisini kwake jijini Dar
es Salaam. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya
Utumishi na Uendeshaji wa Bunge ambapo Mhe. Makinda aliambatana na wajumbe wa
Tume ya Bunge la Tanzania. Kulia kwake ni Kiongozi wa Msafara wa Tume hiyo Mhe.
Yepwi Stephen Dako. Bunge la Tanzania leo kwa lengo la
kujifunza

kujifunza.
Spika wa Bunge
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja kati
ya Ujumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria na wenyeji wao kutoka
Tanzania Ofisini kwake leo. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza
masuala mbalimbali ya Utumishi na uendeshaji wa Bunge.
Spika wa Bunge
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja kati
ya Ujumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge
la Nigeria na wenyeji wao kutoka Tanzania leo. Ujumbe huo upo nchini kwa
lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na uendeshaji wa Bunge.
Mwenyekiti wa
Kamati Ndogo ya Ajira na Maendeleo ya Watumishi ya Tume ya Utumishi ya Bunge
Mhe. Salehe Pamba akifafanua baadhi ya hoja zilizokuwa zikiulizwa na wajumbe wa
Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria (hawapo pichani) waliotembelea Bunge leo
kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na uendeshaji wa Bunge.
Kiongozi wa
Msafara wa Ujumbe kutoka Tume ya Utumishi ya Bunge la Nigeria Mhe. Yepwi Stephen Dako akiuliza namna ambavyo Tume ya Bunge la Tanzania
husimamia Watumishi wa Bunge la Tanzania katika kuleta ufanisi kazini wakati
walipokutana na wenyeji wao kutoka Tanzania leo. Ujumbe huo wa tume ya Nigeria
upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na Uendeshaji
wa Bunge.
Spika wa Bunge ambaye
pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwa katika picha ya Pamoja na Ujumbe wa
Tume ya Utumishi kutoka Bunge la Nigeria
na wenyeji wao kutoka Bunge la Tanzania mara baada ya kukutana nao Ofisini
kwake leo. Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi
na uendeshaji wa Bunge.
Spika wa Bunge
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tume ya
Utumishi ya Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akielezea baadhi ya masuala ya
Kiutawala katika usimamizi wa Bunge kwa
wajumbe wa Tume ya Utumishi kutoka Bunge
la Nigeria walipomtembelea leo Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Ujumbe huo upo nchini kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya Utumishi na
Uendeshaji wa Bunge ambapo Mhe. Makinda aliambatana na wajumbe wa Tume ya Bunge
la Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni