Saluti
na wimbo wa Taifa kwa Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence
Tinguely Mattli, alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi
mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akisaini kitabu cha
wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli akiwasilisha
hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini
Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli, akiongea na
Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kuwasilisha hati zake za
Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akisanini kitabu cha
wageni alipofika kuwasilisha hati zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Uturuki nchini Bi. Yasemin Eralp akiwasilisha hati
zake za Utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 9, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni