HII NAFASI
 YA PEKEE NA ELEWA MAANA YA MABADILIKO WITO KWA WANAWAKE WOTE [WOMEN AS 
WINNERBREAD] ELISERENA KIMOLO MWENYEKITI UWT DMV NCHINI MAREKANI. 1.WITO
 KWA WANAWAKE WOTE.
Tumepata nafasi ya pekee mwanamke kuwa Makamu wa 
Rais,Mama Samia anafahamu fika matatizo ya mwanamke ndani ya 
familia,hivyo kwa mara ya kwanza huu ni ukombozi kwa mwanamket 
.
Tumepata mtetezi katika ngazi ya juu kwa sababu siku zote mwanamke 
ndie anayehusika zaidi na mambo ya familia , huku Nchini Marekani na nchi
 nyingine kama China au nchi zilizoendelea, Mwanamke anajulikana kama" 
WOMEN AS WINNERBREAD".Kwanini tunaitwa hivyo , Kwasababu ya jitihada 
zetu katika jamii.
Jitihada zetu za kuhakikisha familia zetu zinasonga 
mbele zikiwa na maendeleo mazuri kuhakikisha hakuna mtoto atakae achwa 
nyuma katika maendeleo."NO CHILD LEFT BEHIND" .
Hayo yote yatafanikiwa 
kwa kuwa na SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.MAENDELEO AU MABADILIKO HAYATOKEI
 KWA SIKU MOJA,JITIHADA ZETU TUKISHIRIKIANA NA SIASA SAFI NA UONGOZI 
BORA Tutafika tunapotaka, Dr. Magufuli alishatutangazia kabisa katika 
kampeni yake kwamba mama NTILIE hatalipa tena kodi, mara atakapokuwa 
madarakani,hivi tunahesabu siku ifike. 
Epuka Mchepuko Mama Samia 
atatupigania, simama katika nafasi hiyo, tusidanganyike na sauti zetu 
zisikike. 
Ni heshima kubwa CCM imetupa hiyo ikiwa ni sera mojawapo ya 
kumheshimu mwanamke, kwa kuwa mwanamke ni chombo muhimu sana katika 
jamii.  
Mheshimiwa Rais  Mmtarajiwa alilitafakari kwa makini pamoja na 
uongozi wote wa CCM kuona kwamba inafaa tuangalie wanawake hu sio mwanzo
 ndani ya CCM wanawake tuna nafasi mbalimbali.
Lakini hii ya sasa hivi ni
 nafasi ya juu sana, utetezi na maamuzi mazuri tutayaona, hivyo basi acha
 MCHEPUKO CHAGUA MAGUFULI Siku ya mwisho utasema 
nilisimama katika nafasi yangu ndani ya jamii kwa kupiga kura na sasa hakuna mtoto anaeachwa nyuma kimaendeleo na matunda ndani 
ya jamii yanaonekana. ".WOMEN AS WINNERBREAD" CHAGUA DR. 
MAGUFULI CHAGU MAMA SAMIA.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni