BAADHI YA MATUKIO ALIYOYAFANYA RAIS KIKWETE WAKTI ALIPOKUWA KWENYE ZIARA YA KIKAZI MKOANI ARUSHA



Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Jengo la Kitega uchumi Mamlaka ya Ngorongoro

1Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikiwete akiweka jiwe la msingi katika jengo la kitega uchumi linalomilikiwa na Mamlaka ya hifadhi ya Bonde la Ngorongoro lililopo mjini Arusha jana jioni.
unnamedMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mamlaka ya Uhifadhi ya Bonde la Ngorongoro Balozi Mwanaidi Maajar akimkabidhi Rais Kikwete zawadi mbalimbali pamoja na pasi ya kudumu ya kuingia katika hifadhi ya Ngorongoro muda mfupi baada ya Rais Kuzindua ujenzi wa jengo la Kitega uchumi la Hifadhi hiyo mjini Arusha
e

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni