Muonekano wa Jengo la Kitega uchumi Lumumba Business Complex, lililofunguliwa na Rais Kikwete mjini Kigoma Septemba 14, 2015.
Muonekano wa jengo hilo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua jengo la kitega
uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa(National Housing Corporation) NHC
Lumumba Complex mjini Kigoma Septemba 14, 2015.
Wengine katika
picha ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,(watatu kushoto), Waziri wa
Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Lukuvi,(wanne kushoto),
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Issa Machibya,(Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bwana Nehemia Mchechu(kulia), na kushoto
ni Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kigoma mjini Mh.Peter Selukamba.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe katika jiwe kuashiria kufungua
rasmi jengo la kitega uchumi la Shirika la Nyumba la Taifa National
Housing Lumumba Business Complex mjini Kigoma Septemba 14, 2015. Wapili
kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na watatu kushoto ni
Mkurugenzi mkuu wa NHC Bwana Nehemia Mchechu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi wa nyumba za
bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC eneo la Mlole
mjini Kigoma Septemba 14, 2015. Wengine katika picha ni Waziri wa Ardhi
Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi(wapili kushoto), Mkuu
wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya(wapili kulia), Mbunge mstaafu wa Kigoma
mjini Mh.Peter Selukamba(wanne kjshoto), Mkurugenzi mkuu wa NHC Bwana
Nehemia Mchechu kulia na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma
Ndugu Walid Kabouru.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi
wakati wa hafla ya uzinduzi mradi wa nyumba za bei nafuu NHC eneo la
Mlole mjini Kigoma Septemba 14, 2015.Rais Kikwete yupo mkoani Kigoma kwa
ziara ya kikazi ya siku mbili. Kulia ni Waziri wa Ardhi Nyumba na
maendeleio ya Makazi Mh.William Lukuvi,Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma
Issa Machibya na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba
la Taifa(NHC) Bwana Nehemia Mchechu.
Picha ya pamoja.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa mji wa kigoma
wakati akingia katika uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika ambapo
alihutubia Mkutano wahadhara na kuwaaga rasmi wananchi wa mkoa wa
Kigoma. (Picha zote na Freddy Maro)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni