Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na spika wa Bunge la Burundi Mhe.Paschal
Nyabenda(kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Burundi Mhe.Agathon Rwasa
muda mfupi baada kufanya mazungumzo ikulu jijini Dar es Salam leo
mchana.Spika huyo na ujumbe wake walimtembelea Rais Kikwete .(Picha na Freddy Maro).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la
Burundi Mhe. Paschal Nyabenda, naibu Spika wa Bunge hilo Agathon Rwasa
pamoja wajumbe wengine ikulu jijini Dar es Salaam .

ikulu jijini Dar es Salam .Spika huyo na ujumbe wake
walimtembelea Rais Kikwete.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni