Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom
Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda
ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina
iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa
na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana
na udanganyifu wa kifedha na jinsi
ya kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta
(muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
Wakufunzi wa Semina ya Mawakala wa Vodacom Tanzania, kanda ya Mbagala
jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa
ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma za kifedha,
kuepukana na udanganyifu wa kifedha na
jinsi ya kupata faida zaidi kwa kuuza
Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.
Mkufunzi wa Semina ya
Mawakala wa Vodacom Tanzania, kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam, John
Mahingwa akiuliza swali wakati wa Semina hiyo iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya
mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana
na udanganyifu wa kifedha na jinsi
ya kupata faida zaidi kwa kuuza
Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.
Meneja Mauzo wa Vodacom
Tanzania, Kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam, akifafanua jambo kwa Mawakala
wa kampuni hiyo waliohudhuria katika Semina
iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya
kutoa na kuboresha huduma za kifedha, kuepukana na udanganyifu wa kifedha na jinsi ya kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda
wa hewani) na kuunganisha wateja katika huduma ya M-Pawa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni