Mama
Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Maelfu
kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa
mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Dkt. John Pombe Magufuli
Sehemu
ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM
Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni
Mgombea
wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwa
shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa
kampeni
Rais
Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia
mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Wananchi
wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi
hao sambamba na kuzinadi sera zake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubi maelfu ya wananchi kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
Mmgombea
Urais Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.John Magufuli amesema iwapo
atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi mkuu mwaka huu ,Serikali yake
itashusha bei ya vifaa vya ujenzi hasa bati na saruji. Dk.Magufuli
alitoa kauli hizo leo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika
maeneo ya Mkamba.Ruaha.Mikumi,Kilosa mjini pamoja na Morogoro mjini
ikiwa ni sehemu ya kuomba ridhaa ya kuomba kichaguliwa urais katika
uchaguzi mkuu mwaka huu.
Alisema
kuwa serikali yake inataka kurahisisha maisha ya watanzania wote na
hivyo atapunguza bei saruji na bati na hilo litafanikiwa kwa kupunguza
ushuru wa vifaa hivyo."Serikali ya Magufuli nataka iwe ya kurahisisha
maisha ya wananchi wake.Moja ya mambo ambayo ninedhamiria kuyafanya ni
kupunguza bei ya bati na saruji.Nataka kuona watu wanajenga nyumba nzuri
na za kisasa, hivyo lazima tushushe bei ya vifaa vya ujenzi,alisema
Dk.Magufuli.
Aliongeza
kasi ya kupatikana kwa maendeleo ya haraka hiyo anaiweza na anaomba
wananchi wamuamini na ameomba urais kwa ajili ya kufanya kazi tu huku
akieleza wapo ambao wanaosema anafanya siasa wajue yeye si
mwanasiasi.''Nataka kuwa Rais wa Tanzania na si uwenyekiti .Dhamira
yangu ni kuwatumikia watanzania kwa kuleta maendeleo yakiwemo ya kuwa na
makazi bora.
"Natambua
nchi yetu ni tajiri sana na sasa utajiri huo utumike kuleta maendeleo
ya wananchi na hili linawezekana kwenye serikali ya awamu ya tano,"
alisema Dk.Magufuli.Alisema rasilimali za nchi hii zitumike kuleta
maendeleo na ndio maana anataka nafasi hiyo kwa ajili ya kusimamia
maendeleo ya wananchi wote.Wakati huo huo,Dk.Magufuli aliwataka wananchi
kumchague yeye awe Rais kwa sababu hana tamaa ya fedha na ndio maana
amaweza kusimamia vema fedha za wafadhili ambazo zilitumika kwenye
ujenzi wa barabara.
Kwa
upande mwingine alisema atasimamia amani ya nchi kwani ndio msingi wa
maendeleo ya taifa letu na kuongeza shida ya watanzania si vyama vya
siasa bali ni maendeleo yao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la
Morogoro mjini,Mh Azizi Abbod mbele ya maelfu ya wananchi (hawapo
pichani) kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro.
Mwenyekiti
wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akiteta jambo na Kada
maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani Morogoro
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akizungumza
jambo na mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli jioni ya leo
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri
mkoani Morogoro.
Mwenyekiti
wa chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Kada
maarufu wa CCM,Mzee Yusuph Makamba jioni ya leo kwenye mkutano wa
hadhara wa kampeni uliofanyika viwanja vya Jamuuhuri mkoani
Morogoro,pichani kati ni mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akishuhuhudia
tukio hilo.
Wananchi
wa kata ya Kimamba wakiwa wamekusanyka kwa wingi wakimsikiliza Dkt
Magufuli alipokuwa akijinadi kwao na kuomba ridhaa ya kuonza Tanzania
katika awamu ya Tano.
Wabunge
wa majimbo ya mkoa wa Morogoro wakiwa katika mkutano huo wa kampeni wa
mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa
kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

tu ya wapiga picha wakirekodi matukio katika Uwanja wa Jamhuri Mjini
Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa
tiketi ya CCM
Vijana
wa CCM katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM
Vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM
Wasanii
nyota vijana katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati
wa mkutano wa kampeni wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM
Wasanii
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
na viongozi wengine katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya
chama hicho tawala
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Mzee Yusuf Makamba katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni
wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
na Mama Salma Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya
chama hicho tawala
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
wakimpongeza Mzee Yusuf Makamba katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mzee
Yusuf Makamba katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili baada ya
kuhutubia mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya

Kikwete akiongea na gharika ya wananchi wakati akimnadi mgombea wa Urais
kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri
Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa
urais kwa tiketi ya chama hicho tawala

Kikwete akimpa tano mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala
Rais
Kikwete akimnadi mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe

Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala
Meza
kuu wakati Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa
tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala
Ni
shangwe tupu wakati mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini
Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mbunge wa
Morogoro Mjini Mhe Mohamed Aboud mbele ya gharika ya wananchi katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni
wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi
mbunge wa Morogoro Mjini Mhe Mohamed Aboud mbele ya gharika ya wananchi
katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa
kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi
mgombea Ubunge wa Morogoro vijijini Mhe Prosper Mbena mbele ya gharika
ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa
mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho
tawala
Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwanadi
wagombea Ubunge wa Morogoro mbele ya gharika ya wananchi katika
Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni
wa mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea
Ubunge wa Morogoro mbele ya gharika ya wananchi katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea
huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mbunge
wa zamani Mama Jitto Ram ambaye pamoja na kuugua alifika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea
huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mgombea
Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na mama
Salama Kikwete baada ya kuhutubia gharika ya wananchi katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa
mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Rais
Kikwete akiwa na mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli, Mzee Yusuf Makamba na mgombea ubunge Morogoro mjini Mhe
Mohamed Aboud mbele ya gharika ya wananchi katika Uwanja wa Jamhuri
Mjini Morogoro Jumapili wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea huyo wa
urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Rais Kikwete akisalimiana na mjukuu wa Chifu Kingalu
Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa viongozi wa UWT wakati
alipowasili kuhudhuria ufungaji wa mkutano wa semina ya Umoja wa
Wanawake hao wa CCM baada ya mkutano wa kampeni
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni