Mgombea
 Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha 
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba 
mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa 
Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
Mgombea
 Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha 
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba 
mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa 
Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.
 Mgombea
 Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Balozi Hamis Kagasheki akiwahutubia 
wananchi wa Bukoba na vitongoji vyake waliojitokeza kwa wingi kwenye 
mkutano wa kampeni wa Urais,ambapo Dkt John Pombe Magufuli aliwahutubia 
jioni ya leo mkoani Kagera.
 Wakazi wa Runazi wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM alipokuwa akiwahutubia wananchi wilayani Muleba mkoani Kagera jioni ya leo.
 Wakazi
 wa Muleba Mjini wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli 
alipokuwa akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa 
hadhara wa kampeni. 
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wananchi hao jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
 Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimsilikiza mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa 
 
 Wakazi wa kijiji cha Nshamba wilayani Muleba wakimshangilia Mgombea 
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli mara baada ya kufunga barabara 
wakitaka kusikilizwa shida zao, alipokuwa akiwasili eneo hilo na 
kuwasalimia Magufuli alipokuwa 
 Mgombea
 Urais wa CCM akijinadi mbele ya wakazi wa Kamachumu,wilayani Muleba 
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika jioni ya leo mkoani 
Kagera.
 Mgombea
 Ubunge wa jimbo la Bukoba vijijini,Ndugu Jasson Rweikiza akijinadi 
mbele ya wananchi wa Bukoba vijijini kuwaomba ridhaa ya kuliongoza jimbo
 hilo,kwenye mkutano wa kampeni. 
 Mgombea
 Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi 
CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwapungia wakazi wa Bukoba mjini alipokuwa
 akiwasili  kwenye viwanja vya Gymkhana mkoani Kagera,kwenye mkutano wa 
hadhara wa kampeni. 
  Sehemu
 ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya 
Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli 
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni. 
 Sehemu
 ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya 
Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli 
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 
 Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja 
vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli 
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
 Sehemu ya wafuasi wa chama CCM wakifuatilia mkutano wa kampeni
















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni