Wananchi
wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa
Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo Septemba
28, 2015.
Umati
wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera
za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati Mkutano wa Kampeni
uliofanyika kwenye Uwanja wa Kisiwani, Septemba 28, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Kisiwani, Mji wa Soni katika Jimbo Bumbuli, Mkoani Tanga Septemba 28, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni