Mke wa Rais Mama Salma 
Kikwete  akimfariji Mke wa Waziri Mkuu, mama Tunu Pinda (kuhosto) ambaye
 alifiwa na Mama yake , Hajjat Pili Mlolwa Rehani, nyumbani wa marehemu,
 Tanata Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015. Kuliani  Mama 
Hasina Kawawa.
  Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Waziri wa Maendeleo ya 
Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Wapili kushoto na Mama Hasina 
Kawawa  waliokwenda kumfariji kufuatia kifo cha Hajjat Pili Mlolwa 
Rehani,Mama wa Mama Tunu , nyumbani kwa Marehemu, Tabata Magengeni 
jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015.
  Baadhi ya waomboezaji walioshiriki katika mazishi ya Hajjat Pili 
Mlolwa Rehani, Mama Mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, 
nyumbani kwa marehemu jijini Dar es salaam, Septemba 17, 2015.
 Makamu wa 
Rais,Dkt. Mohamed Bilal akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda 
wakati alipokwenda Tabata magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa 
marehemu, Hajjat Pili Mlolwa Rehani   ambaye ni mama wa Mama Tunu, 
aliyefariki Septemba 17, 2015. Kulia ni Mama Hasina Kawawa,watatu  kulia
 ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba na 
wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana.
  Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi 
 akimfariji mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda wakati alipokwenda Tabata
 magengeni jijini Dar es salaam, nyumbani kwa marehemu, Hajjat Pili 
Mlolwa Rehani   ambaye ni mama wa   Mama Tunu, aliyefariki Septemba 17, 
2015.   Kulia ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia 
Simba na wanne kulia ni Naibu Waziri wake Pindi Chana. 
  Makamu wa Rais Mohammed 
Bilal akishiki kubeba jeneza  lenye mwili wa Hajjat Pili  Mlolwa 
Rehani,mama yake Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda katika sala 
ilitofanyika nyumbani kwa marehemu, Tabata Magengeni jijini Dar es salam
 Septemba 17,2015.
 Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Hajjat Pili Mlolwa 
Rehani,Mama wa Mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda katika mazizi 
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam Septemba 
17, 2015. 
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika mazishi ya Hajjat Pili Mlolwa
 Rehani, Mama wa mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda  wakiwa nyumbani kwa 
marehemu Tabta Magengeni jijini Dar es salaam Septemba 17, 2015.Kutoka 
kulia ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
 Mkuu, Dkt. Florens Turuka , Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Cassian 
Chibogoyo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni