Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe
wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea
ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akimkaribisha Makamu wa Rais wa
Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China Bw. Huang Geming (mwenye tai) aliyeongoza
ujumbe wa Kampuni yake kumtembelea Waziri ofisini kwake.
Ujumbe
wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China, ukiongozwa na Makamu wa Rais wa
Kampuni hiyo Bw. Huang Geming (wa tatu toka kulia) katika mazungumzo ya Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi (hayupo pichani) ulipomtembelea Waziri huyo ofisini
kwake.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya
pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea
ofisini kwake. Wa pili kutoka kushoto ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni