Kimbunga hatari kiitwacho Matthew
kimeikumba Florida na kuwaacha watu 200, 000 bila umeme huku
mamilioni ya watu wakiwa katika maeneo yatakayopitiwa na kimbunga
hicho.
Rais Barack Obama ametangaza hali ya
tahadhari katika majimbo ya Florida, Georgia pamoja na South
Carolina, kufuatia kimbunga hicho kinachoambatana na mvua.
Wakati huo huo vifo vilivyotokana na
kimbunga Matthew nchini Haiti vimeongezeka na kufikia zaidi ya watu
300.
Kimbunga Matthew kikisukuma miti kama inavyoonekana
Watu wakiwa wamevalia makoti ya mvua ya nailoni kujikinga na mvua
Mama akiwa na mtoto wake katika kambi maalum salama kwa watu walihamishwa kwenye maeneo yao hatari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni