CHA IKUNGI HALF MARATHON 2016 CHARINDIMA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akishiriki kutazama washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na Hassan Tati Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ikungi
Wananchi wakifatilia kwa makini Ikungi Half Marathon katika maeneo yao vijiji vyao





Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia Riadha katika Kijiji cha Kimbwi









Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakitazama namna wakimbiaji wanavyowasili katika uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi
Mwandishi wa blog ya wazo huru akimsaidia kufanya mazoezi ya kuimarisha misuli Mshindi wa Ikungi Half Marathon 2016 kwa upande wa wananwake kwa umbali wa Kilomita 21

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni