Utafiti wa unywaji kilevi duniani
unaonyesha kuwa wanawake sasa wamefikia idadi sawa na wanaume kwa
unywaji wa kilevi.
Utafiti huo ni kinyume na matokeo ya
miaka 1891 na 2001 ambayo yalikuwa yakionyesha wanaume wamekuwa
wakiongoza kwa kunywa kilevi kuliko wanawake.
Hata hivyo kizazi cha sasa cha
wanawake kinaonekana kuanza kulingana sawa katika unywaji kilevi na
wanaume na kubadili hali hiyo tofauti iliyokuwepo katika miaka ya nyuma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni