Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni
mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya
kuwasili.
 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakipigiwa  ngoma
pamoja na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja
 na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim 
Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam
 kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo 
mbili.

Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika 
Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakisoma muhtasari wa shudhuli  katika 
ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya  uwekaji 
saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza  Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage 
 katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya 
 uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour akiongea
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem Bensalah-Chaqroun akiongea
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja
 na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim 
Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam
 kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo 
mbili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja
 na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim 
Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam
 kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo 
mbili.
 Waziri
 wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakibadilishana hati na 
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour 
baada ya kutiliana saini makubaliano ya jumla katika mashirikiano ya 
Kiuchumi, Kisayansi, Kiufundi na Kiutamaduni baina ya serikali ya nchi 
hizo mbili
 Maafisa wahusika wakiweka  saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Mkurugenzi
 na Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania Eng. Ladislaus Matindi akibadilishana 
hati ya mkataba wa makubaliano na afisa wa Shirika la ndege la Morocco
 Waziri
 wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa  Makame Mbarawa 
wakibadilishana hati na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco
 Mhe. Salahddine Mezour baada ya kutiliana saini makubaliano ya 
Mashirikiano katika sekta za gesi, nishati, madini na Sayansi ya miamba
Kaimu
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja 
kadogosa akibadilishana hati  na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya 
Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana
 saini makubaliano ya Mashirikiano
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Tanzania Bw. Sam kamanga wakiweka saini
 Waziri
 wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba na Waziri wa Kilimo wa 
Morocco Mhe. Aziz Akhannouchi wakipeana mikono baada ya kutia saini 
makubaliano ya Ushirikiano katika miradi ya Mtangamano wa kuwasaidia 
Wakulima wadogo Tanzania
 Mwenyekiti
 wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem 
Bensalah-Chaqroun akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Taaisi 
ya Sekta Binafsi Tanzania Bw. Godfrey Simbeye
 Maafisa wakipeana mikono baada ya kusaini hati za makubaliano
 Katibu
 Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa akibadilishana
 hati za makubaliano na Mwenyekiti wa MASEN Bw. Moustapha Bakkoury
 Kaimu
 Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana 
hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. 
Hicham Belmrah
 Mkurugenzi
 Mtendaji wa Mamlaka ya Maeneo Maalumu ya Uwekezaji Bw. Joseph Leon 
Simbakalia akibadilishana hati za makubaliano na Mkrugenzi Mkuu wa SNTL 
Group ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda
Kaimu
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja 
kadogosa akibadilishana hati  na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya 
Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana
 saini makubaliano ya Mashirikiano
Mkurugenzi
 Mkuu wa kampuni ya Superstar Forwarders Bw. Seif A. Seif akibadilishana
 hati ya Mkataba wa Mkopo na Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. 
Amine Bourati
Mkurugenzi
 wa CCBRT Bw. Telemans Erwin akibadilishana  hati ya Mkataba wa Mkopo na
 Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati
 Naibu
 Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania Bi. Brenda Msangi akipeana 
mikono Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati
Mwakilishi
 Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Bi. Tonia Kandiero kibadilishana 
hati za Mkataba wa Ubia na Mwenyekiti Mtemdaji Mkuu wa Benki ya Centrale
 Populaire ya Morocco Bw. Mohamed BenChaaboun
 Kaimu
 Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana 
hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. 
Hicham Belmrah
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea 
wakati a Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa 
Morocco Mohamed VI 
Wageni
 wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
 Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia
 mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 

 wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. 
John Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa 
aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Mkurugenzi
 Mtendaji wa Benki ya CRDB  Dkt. Charles Kimei na wageni wengine 
wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
 Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia
 mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Mkuu
 wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiwa na watangazaji 
mashuhuri wa Clouds 360 Baby Kabaye na Bw. Samwel Sasali ambao pia 
walihudhuria hafla hiyo Ikulu
Mwenyekiti
 wa Bodi ya Utalii(TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, Mkurugenzi wa Bodi 
ya Utalii Tanzania Bi Devota Mdachi na Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey 
Meena na maafisa waandamizi wa bodi hiyo walikuwepo pia
Mpiga picha wa Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI akifurahia ngoma za utamaduni
  Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimlaki 
 mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa 
ya Taifa Ikulu
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa 
 mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa 
ya Taifa Ikulu
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na   mgeni
 wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na meza kuu wakisimama wakati
 wa nyimbo za Taifa kwenye  dhifa ya Taifa Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na wageni wakati wa nyimbo za Taifa
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na wageni 
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume na wageni
Mawaziri na wageni
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa

Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara na Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza 
kuu na  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa 

 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimtambulisha Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa  mgeni wake 
Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimtambulisha Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid karume  kwa 
 mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya 
Taifa Ikulu
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimtambulisha viongozi wa dini  kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa 
Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akiwatambulisha mawaziri kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco 
Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimtambulishaWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame 
Mbarawa kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa 
dhifa ya Taifa Ikulu
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimtambulisha Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe 
Hamad Rashid Mohammed  kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed
 VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na 
mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na viongozi wengine 
wakiangalia ngoma za utamaduni mara baada ya dhifa ya kitaifa ukumbi wa 
mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam.

wakiangalia kundi la Usambara Mountain Brass Band  mara baada ya dhifa 
ya kitaifa ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na mkewe Mama Janeth Magufuli kabla  ya mgeni kuondoka
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
 na mkewe Mama Janeth Magufuli baada ya mgeni kuondoka
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na 
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa
 na mkewe Mama Janeth Magufuli baada ya mgeni kuondoka. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni