Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega katikati akizungumza
na Waandisahi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano wa
kuzungumzia maswala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania
Makongoro Nyerere na wa mwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka
Rwanda Patricia Hajabakiga.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Spika wa Bunge
la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
Mwandishi
mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa Spika wa
Bunge la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya
Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
Mbunge
wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano na
Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa Bunge
la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge
katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni