VIONGOZI MBALIMBALI WAMEJITOKEZA KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI,VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR  .
SANDUKU
 LENYE  MWILI WA MAREHEMU DKT DIDAS MASABURI LIKIWASILI VIWANJA VYA 
KARIMJEE,JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI HII KWA AJILI YA KUTOLEWA HESHIMA 
ZA MWISHO,AMBAPO RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ALIWAONGOZA WANANCHI 
WALIOFIKA KUSHIRIKI KUAGA MWILI WA DKT DIDAS MASABURI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016.
Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam .

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam .
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam .

Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam
Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masabburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, 
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa
 kuu katika shughuli ya kutoa heshima za  mwisho na kuaga mwili wa Meya 
wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya 
Karimjee jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
 Baadhi
 ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali na Kichama wakiongozwa na Rais Dkt
 John Pombe Magufuli (wa tano kulia) wakiwa katika viwanja vya Karimjee 
mapema leo asubuhi kutoa heshima ya mwisho na kuaga mwili wa Marehemu 
Dkt Didas Masaburi,aliyefariki wiki iliopita katika hospitali ya Taifa 
ya Muhimbili,wakishiriki 
 Baadhi ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa mpendwa wao Dkt Didas Masaburi  
 Baadhi
 ya viongozi mbalimbali wa chama na serikali pamoja na wananchi 
mbalimbali waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu 
Dkt Masaburi,mapema  viwanja vya Karimjee,jijini Dar Es Salaam.
Sanduku
 lililobea mwili wa Marehemu Dkt Masaburi likiwasili katika viwanja vya 
Karimjee,jijini Dar kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni