Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akila kiapo cha
kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele
ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali
(katikati) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya
kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni Naibu Msajili
Mwandamizi wa Mahakama Kuu, Eva Nkya. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni