Vikosi vya usalama vya Nigeria
vimekamata fedha kiasi cha dola 800,000 katika msako uliofanywa
kwenye nyumba za majaji wa nchi hiyo wanaoshukiwa kuwa ni wala
rushwa.
Wakala wa taasisi ya DSS umesema
msako huo umefanyika katika siku za hivi karibuni na tayari majaji
kadhaa wanashikiliwa.
Tangu aingie madarakani rais,
Muhammadu Buhari, aliahidi kukabiliana na matukio ya rushwa nchini
Nigeria.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni