MKUTANO WA 6 WA WADAU NSSF WATANZANIA WAMETAKIWA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KWA LENGO LA KUPAMBANA NA UMASIKINI WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Juu na Chini Ni picha ya pamoja ya Waziri mkuu na Bodi ya wadhamini wa mfuko wa hifadhi ya jamii Nssf Baada ya kufungua mkutano wa sita wa wadau wa mfuko huo leo jijini Arusha

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa na Wadau wa mkutano mkuu wa sita wa NSSF  Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ufunguzi rasmi wa mkutano huo jijini Arusha leo.Picha zote na Mahmoud Ahmad wa globu ya jamii Arusha

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akihutubia mkutano mkuu wa sita wa wadau wa mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF)unaondelea kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa AICC jijini Arusha leo

Waziri Ofisi ya waziri mkuu Sera Kazi Ajira Vijana na Walemavu Jenista Mhagama Akihutubia kabla ya kumkaribisha waziri mkuu Kassim Majaliwa kuongea na wadau wa mkutano mkuu wa sita wa Nssf leo jijini Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwakaribisha wageni wanaohudhuri mkutano huo kabla haujahutubiwa na waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa leo jijini Arusha

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF Prof.Samwel Wangwe akimkaribisha Waziri ofisi ya waziri mkuu Kazi ajira vina na walemavu Jenista Mhagama ili aweze kumkaribisha waziri mkuu kuongea na hadhara ya wadau wa mkutano wa sita wa mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF Leo Jijini Arusha

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara akitoa maelezo juu ya mfuko huo wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania , Kasim Majaliwa na Wadau wengine wa Mfuko huo Leo Jijini Arusha

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akipokea Tani 45 za Saruji sawa na mifuko 900 yenye thamani ya milion 15 kwa niaba ya waathirika wa tetemeko la Ardhi Kagera leo jijini Arusha alipokuwa Mgeni Rasmi kwenye mkutano wa Sita wa wadau wa mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF

Baadhi ya Wawakilishi wa makampuni kumi ambayo yamefanya vizuri katika kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mfuko wa NSSF wakipokea zawadi zao kutoka kwa Waziri Mkuu , Kasim Majaliwa, ambapo benki ya Exim iliibuka mshindi wa Jumla, mshindi wa pili alikuwa ni Kampuni ya Bakhresa na watatu ni Vodacom Tanzania.

Waziri mwenye dhamana Kazi Ajira Vijana na Walemavu Jenista Mhagama akipokea Tunzo kwa niaba ya kampuni inayotokea mkoani Ruvuma kutoka kwa waziri mkuu Kassim Majaliwa ikiwa ni mojawapo ya makampuni 10 yaliofanya vizuri katika kuwasilisha michango mikubwa kwenye mfuko wa NSSF Leo Jijini Arusha

Baadhi ya Wawakilishi wa makampuni kumi ambayo yamefanya vizuri katika kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mfuko wa NSSF wakipokea zawadi zao kutoka kwa Waziri Mkuu , Kasim Majaliwa, ambapo benki ya Exim iliibuka mshindi wa Jumla, mshindi wa pili alikuwa ni Kampuni ya Bakhresa na watatu ni Vodacom Tanzania.

Baadhi ya Wawakilishi wa makampuni kumi ambayo yamefanya vizuri katika kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mfuko wa NSSF wakipokea zawadi zao kutoka kwa Waziri Mkuu , Kasim Majaliwa, ambapo benki ya Exim iliibuka mshindi wa Jumla, mshindi wa pili alikuwa ni Kampuni ya Bakhresa na watatu ni Vodacom Tanzania.

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Maendeleo ya Jamii Aeishi Hillary akielezea maasuala mbali mbali ambayo kamati yake imekwuwa ikifanya katika kuendeleza sekta ya hifadhi ya jamii nchini mbele ya Waziri Mkuu leo jijini Arusha

Mkurugenzi wa Mfuko wa hifadhi ya jamii wa LAPF  Eliud Sanga, akitoa neno la shukurani baadaya ya waziri mkuu kufungua mkutano wa sita wa wadau wa NSSF leo jijii Arusha.

Waziri Mkuu akiagana na Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni wa PPF Bw William Erio, baada ya kufungua mkutano wa sita wa wadau wa NSSF leo jijini Arusha

Juu  Waziri mkuu Kassi Majaliwa akiongoza viongozi na wajumbe wa bodi kuingia kwenye ukumbi wa simba Hall kufungua mkutano wa wadau Nssf leo jijini Arusha

Waziri Mkuu akiwasili Na Kusalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa mfuko wa hifadhi za jamii NSSF Prof.Samwel Wangwe Nje ya ukumbi wa mkutano Kabla hajaufungua mkutano huo leo Jijini Arusha

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni