Basi lenye bomba la mvua, vitanda
viwili pamoja na jiko ni miongoni mwa hoteli ya bei mbaya ambapo ili
mtu kulala kwa siku moja hulipa paundi 380,000 za Uingereza.
Kama hiyo haitoshi basi hilo lina
sehemu ya kuingiza joto kwa chini pamoja na paa la kioo kitandani
ambalo humpa fursa mtu anayelala kuangalia nyota usiku huku akiwa
amelala.
Sehemu ya jiko katika basi hilo inavyoonekana ukiwa ndani
Vitanda viwili vilivyounganishwa katika basi hilo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni