KAMA WEWE NI MPENZI WA PICHA ZA MAENEO MBALIMBALI HAPA NCHINI, KAMERA YA MTAA KWA MTAA IMELIMUDU JUKUMU HILO NA SASA TUNAANZA NA MKOA WA LINDI

 Kamera yetu mtaa kwa mtaa, inaungana nawe mdau kukuletea picha za mionekano na mandhari za maeneo mbali mbali ya Nchi yetu, hivyo Ungana nasi katika burudani hii ya picha. kwa kuanzia tunaanza na taswira hizi kutokea Mkoani Lindi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni