Moja
ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa Shirika la Ndege Tanzania
(ATCL) aina ya Bombadier Dash 8 Q400 ikitua kwa mara ya kwanza
katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya
Anga(TCAA) walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za
kibiashara nchini.
Maafisa
wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)wakilakiwa katika uwanja mdogo wa
ndege wa Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanya ukaguzi
kabla ya safari kwa ndege hizo kuanza.
Mjumbe
wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ,Ibrahim Mussa
ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa
nchini(TANAPA) akizungumza na waandishi wa habari juu ya faida za utalii
zitakazotokana na kukua usafiri wa anga nchini.
Baadhi
ya watumishi wa uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakifurahia ndege aina
ya Bombadier baada ya kupata nafasi ya kuingia ndani ya ndege hiyo na
kujionea mandhari yake.
Mkuu
wa kitengo cha usalama wa Shirika la ndege Tanzania (ATCL) ,John Chaggu
akijiandaa kuingia ndani ya ndege kwa ajili ya kuendelea na ukaguzi
katika viwanja vingine nchini ambavyo ndege hiyo itatoa huduma.
Na Mahmoud Ahmad wa Manyara leotz blog
KAWAIDA.
Moja ya Ndege mpya ya serikali iliyokodishwa kwa Shirika la Ndege
Tanzania (ATCL) aina ya Bombadier Dash 8 Q400 ikitua kwa mara ya kwanza
katika uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakati maafisa wa Mamlaka ya
Anga(TCAA) walipokua wakifanya ukaguzi kabla ya kuanza rasmi safari za
kibiashara nchini.
Maafisa
wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)wakilakiwa katika uwanja mdogo wa
ndege wa Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanya ukaguzi
kabla ya safari kwa ndege hizo kuanza. Mjumbe wa Bodi ya Shirika la
Ndege Tanzania (ATCL) ,Ibrahim Mussa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii
wa Shirika la Hifadhi za Taifa nchini(TANAPA) akizungumza na waandishi
wa habari juu ya faida za utalii zitakazotokana na kukua usafiri wa anga
nchini.
Baadhi
ya watumishi wa uwanja mdogo wa ndege wa Arusha wakifurahia ndege aina
ya Bombadier baada ya kupata nafasi ya kuingia ndani ya ndege hiyo na
kujionea mandhari yake. Mkuu wa kitengo cha usalama wa Shirika la ndege
Tanzania (ATCL) ,John Chaggu akijiandaa kuingia ndani ya ndege kwa ajili
ya kuendelea na ukaguzi katika viwanja vingine nchini ambavyo ndege
hiyo itatoa huduma.
Baadhi ya wananchi waliokua wakipita kando ya barabara walilazimika kuishudia ndege hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni