Wananchi
mbalimbali wakiwa wamekaa katika vivuli kwa kusubiri matibabu
mbalimbali yanayotolewa na Madaktari katika Siku ya Afya Vijijini
ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini
Unguja.
Afisa
wa Afya Wilaya ya Kusini Ali Mohd Haji akitoa vipande kwa ajili ya
kupata huduma kwa madaktari katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara
hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
Afisa
wa afya anaeshughulika na utoaji wa Dawa Omari Kibuyu Khamisi
akimpatia mwananchi wa Kijiji cha Jambiani dawa katika Siku ya Afya
Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya
ya Kusini Unguja.
Afisa
mratibu wa Kifua Kikuu na Maradhi ya Ukoma Wilaya ya Kusini Karim
Chwaya akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii
imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
Daktari
wa Macho kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Maulid Abdu Maulid akitoa
huduma katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika
Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
Daktari
wa Huduma ya akina Mama na Watoto kutoka kituo cha Afya Paje Nunuu Ali
Makame akitoa mafunzo kwa akina Mama katika Siku ya Afya Vijijini
ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini
Unguja.
Daktari
Bingwa wa huduma ya XRAY na Mionzi(Radiologist) Lyu Chang An akifanya
uchunguzi wa XRAY katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii
imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini
Daktari
Bingwa wa maradhi ya Masikio Dk,Fei akimfanyia uchunguzi Bi Bahati
Pandu kutoka kijiji cha Bwejuu katika Siku ya Afya Vijijini ambapo
mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini.
Daktari
dhamana Wilaya ya Kusini Dk, Maulid Abdalla akizungumza na Waandishi wa
Habari kuhusiana na matibabu mbalimbali yanayotolewa katika Siku ya
Afya Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani
Wilaya ya Kusini
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni