Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya Sala ya Ijumaa kwenye 
Msikiti wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
 Mkuu) 
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Dua ya kuwaombea wanafunzi wote
 wa Tanzania wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Nne ili wafanye 
vizuri akiwa katika  Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Nunge mjini Dodoma
 Oktoba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Baadhi
 ya waumini wa dini ya Kiislam  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim 
Majaliwa wakati    alipozungumza baada ya sala ya Ijumaa kwenye Msikiti 
wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya 
Kiislam baada ya Sala ya Ijumaa kwenye msikiti wa Nunge mjini Dodoma 
Oktoba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Meya wa manispaa ya Dodoma, 
Jafar Mwanyemba  na Sheikh Shabaan Kitila baada ya Sala ya Ijumaa kwenye
 Msikiti wa Nunge mjini Dodoma Oktoba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu) 
 
 
 
 
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni