Aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Onesmo Nangole akiwa na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini nje ya mahakama kuu leo jijini Arusha |
Wananchi na wanachama wa vyama vya CCM NA CHADEMA wakiwa wanafuatilia hukumu |
sehemu ya umati wa wananchi waliofika mahakamani hapo leo |
waandishi nao hawakuwepo nyuma mahakamani hapo kufuatilia kesi hiyo ya uchaguzi kwenye mahakama ya rufaa jijini arusha |
Katibu wa Itkadi siasa na Uenezi wa mkoa wa Arusha Shaban Mdoe na Katibu msaidizi wa ccm mkoa wa Arusha Athman Bilal wakitoka mahakamani hapo leo jijini Arusha |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni