Mfalme
Mohammed wa Morocco akibusu Masahaf kabla ya kumkabidhi Waziri Mkuu
Kasim Majaliwa katika hafla fupi ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi
wa msikiti kwenye eneo la BAKWATA Kinondoni jijini Dar es salaam Oktoba
25, 2016. Kulia ni Mufti Mkuu wa Tanzania, Abukary Zubeir. Jumla ya
Masahaf 10000 zilikabidhiwa na Mfalme huyo.(Picha n Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mfalme
Mohammed wa wa Morocco, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Rais Mstaafu
Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Bilal
wakiwa katika hafla fupi ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa msiki
uliofnywa na Mfalme Mohammed wa Morocco kwenye eneo la BAKWATA,
Kinondoni jijini Dar es salam Oktoba 25, 2016. (icha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mfalme
Mhammed wa Morocco na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakishuhudia
wakati Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeir (kulia) akitia saini
Makubaliano ya ujenzi wa Msikiti kwenye eneo la BAKWATA, Kinondoni
jijini Dar es salaam Oktoba 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni