Waziri mkuu Kassim Majaliwa akipokea picha yenye sura yake kutoka kwa mwenyekiti wa kampuni ya Ujenzi ya CRCC ya China Bw. Fengchao kulia ni katibu wa chama cha ushirikano na maendeleo kati ya china na Tanzania Bwana Joseph Kahama ujumbe huo kutoka china ulifika ofisini kwa waziri mkuu Magogoni jijini dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi nakutoa pole kwa tetemeko la kagera
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni