Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Michezo. Onyesha machapisho yote

MULTICHOICE TANZANIA YAWEKA NGUVU KWENYE RIADHA

01
Mkuu wa Mawasiliano  wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana akizungumza na waandishi wa habari Masaki jijini Dar es salaam leo wakati wa kutiliana saini mkataba wa udhamini na  Mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi hayupo pichani  kushoto ni Wilhelm Gidabuday Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT).
1
Mkuu wa Mawasiliano  wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana akimkabidhi mkataba Mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi  baada ya kutiliana saini mkataba wa udhamini leo Masaki jijini Dar es salaam kushoto ni  wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) kulia ni Meta Petro Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) na kocha.
3
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) na kocha akifafanua jambo katika mkutano huo.
4
Wafanyakazi wa Multichoice Tanzania kutoka kulia ni  Shumbana Walwa Afisa Masoko, Talha na Grace Mgaya  wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla hiyo.
………………………………………………………………
MultiChoice Tanzania imetangaza kuendelea kudhamini mchezo wa riadha hapa nchini huku ikisaini makubaliano maalum ya kumdhamini mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi. Udhamini huo unahusisha fedha ya kujikimu kwa mawanariadha huyo na mafunzo yake na wanariadha wengine katika kambi maalum ya mafunzo inayotarajiwa kuwa wilayani Mbulu.
Akizungumza wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa udhamini kwa mwanariadha huyo, Mkuu wa Mawasiliano wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana, amesema kuwa dhamira kubwa ya MultiChoice ni kuhakikisha kuwa mchezo wa riadha unakuwa na mchango mkubwa katika kuliletea taifa sifa, kutoa ajira kwa vijana wengi na kuchangia kikamilifu katika kukuza uchumi wa nchi.
“Tunataka taifa hili lijulikane ulimwengu mzima kama chimbuko la mabingwa, na tumeanza na riadha. Tumedhamiria kukuza mchezo huu na kuufanya kama chanzo kikubwa cha ajira kwa vijana wetu, lakini pia riadha ni mchezo, ni burudani, na ni sekta nyeti kiuchumi kama ikiendelezwa” alisema Mshana na kuongeza “Tunataka kuusikia wimbo wetu wa taifa katika mashindano makubwa ya kimataifa, tunataka kuiona bendera yetu ikipepea juu katika kila mashindano makubwa ya riadha ya kimataifa, tunataka mamia ya vijana wetu wenye uwezo mkubwa katika riadha washiriki kwenye mashindano makubwa, waweze kujipatia kipato, kuwekeza na kuwa chanzo cha maelfu ya ajira na hatimaye kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi ya nchi yetu”
Amefafanua kuwa udhamini huo utakuwa wa mwaka mmoja na utaendelezwa na kuboreshwa kulingana na hali itakavyokuwa pamoja na mafanikio yatakayopatiokana. “ Huu ni mkakati wetu endelevu, ni mpango wetu maalum unaojulikana kama ‘Ni Zamu Yetu’! ambao umejikita katika kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana wetu katika riadha.” Amesema Mshana.
Mbali na kumdhamini Damiano, MultiChoice pia itadhamini kambi maalum ya mafunzo itakayokuwa wilayani Mbulu ambayo inatarajiwa kuanza mafunzo rasmi hivi karibuni. Amebainisha kuwa taratibu za kuanza kwa kambi hiyo zipo katika hatua nzuri na kambi inatarajiwa kuanza rasmi Agosti mwaka huu na itakuwa na wanariadha kinda wasiopungua sita – wasichana na wavulana.
Kwa upande wake mwanariadha Damiano ambaye ni mshindi wa medali ya shaba katika mashindano ya vijana ya Jumuia ya Madola yaliyofanyika visiwa vya Bahamas, amesema udhamini huo utamfanya aweze kufanya mazoezi yake vizuri kwani sasa hyo ndiyo itakuwa kazi yake ya kudumu. Amesema kilicho mbele yake ni ushindi tu. “Nashukuru sana kwa udhamini wa MultiChoice, na mimi naahidi kuwa nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa siwaangushi MultiChoice na siwaangushi watanzania.”
Katibu mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania Wilhelm Gida-Buday, amesema wamefarijika sana kuona kuwa MUltiChoice inaendelea kudhamini riadha na akasema udhamini huo siyo tu utamsaidia mwanariadha husika, bali pia ni chachu hata kwa wanariadha chipukizi kuwa na moyo na ari ya kushiriki katika mchezo huo.
Amesema Shirikisho la Riadha Tanzania litahakikisha kuwa udhamini huo unakuwa wa manufaa na unazaa matunda yaliyotarajiwa ya kuleta medali zaidi kutaka katika mashindano ya kimataifa. “Ufadhili wa aina hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya mchezo wa riadha. Tunaahidi ushirikiano wetu wa hali na mali ili kufanikisha malengo na tutahakikisha kuwa tunatoa ushirikiano unaostahili kwa wadhamini wetu” alisema Gida.
Mwanariadha Francis Damiano Damasi, anatarajiwa kushiriki mashindano makubwa ikiwemo Mashindano ya vijana ya Afrika Mashariki yanayofanyika mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, Mashindano ya vijana ya Dunia (World Junior Championship) mwezi Julai nchini Finland, Mashindao ya vijana ya Olympic kanda ya Afrika mwezi Julai nchini Algeria, Mashindano ya vijan ya Olympic (Youth Olympic Games) mwezi Oktoba nchini Argentina, na mashindano ya nyika ya vijana (World Junior Cross-country) mapema mwakani nchini Denmark.

KAGERE,WAWA NA DIDA WATAMBULISHWA SIMBA

Klabu ya Simba imewatambulisha rasmi wachezaji wake wapya iliowasajili wiki hii mbele ya waandishi wa habari katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyoko Msimbazi, Kariakoo, Dar es Salaam.
A
Wachezaji hao ni pamoja na beki Pascal Wawa aliyewahi kuichezea Azam FC, Mlinda Mlango Deogratius Munish ‘Dida’ ambaye pia aliwahi kuichezea Yanga pamoja na Meddie Kagere kutoka Gor Mahia FC.
index
Kagere amekabidhiwa jezi namba jezi namba 14, Dida akipewa jezi namba 32 na Wawa akikabidhiwa namba 27.
36283360_1623993374395982_6927408152501551104_n
Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, ameshindwa kuweka wazi juu ya mikataba waliyoingia na klabu lakini ikielezwa kuwa wamesaini miaka miwili kwa kila mmoja.
Baada ya utambulisho huo, Manara amefunguka na kueleza klabu imedhamiria kufanya usajili wa wachezaji hao ili kukipa nguvu kikosi cha Simba kwa ajili ya mashindano mengi ambao inakabiliwa nayo siku za usoni.
Kauli hiyo ya Manara imekuja kufuatia baadhi ya mashabiki na wadau wa soka kuhoji kwanini Simba inasajili wachezaji wengi na walioenda umri, lakini Manara amewakingia kifua kwa kueleza wana maana pana kufanya hivyo.
Manara ameeleza Simba itakuwa inakabiliwa na mashindano mengi hivyo inawapasa kuwa na kikosi kipana zaidi ukizingatia na ligi ijayo itakuwa na mechi nyingi kutokana na timu kuwa ishirini tofauti na mwanzo.

BAADA YA KUTANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA REAL MADRID,HISPANIA YAMFUTA KAZI YA KUINOA TIMU YA TAIFA

4D273E2700000578-0-image-a-39_1528815805512-634x400
Hispania imempiga chini, Kocha wake Julen Lopetegui baada ya kuthibitishwa kwamba msimu ujao atainoa Real Madrid.
Kocha huyo alikuwa ajiunge na Madrid kuchukua nafasi ya Zidane baada ya kumalizika kwa Kombe la Dunia linaloanza kesho Alhamisi.
Lopetegui alisaini miaka mitatu na Madrid, lakini wakubwa wa soka la Hispania wamejiridhisha kwamba hawezi kuwa mtu sahihi kuendelea na timu yao kwenye Kombe la Dunia baada ya kupata dili hilo.
Rais wa Chama cha Soka cha Hispania, Luis Rubiales, alirudi Hispania haraka Jumanne jioni akitokea Urussi na kutangaza kwamba Kocha huyo wamemuondoa.

JOHN AKHWARI VISITS UBA TANZANIA

1528811802949_IMG-20180611-WA0024
From Left Mr. Mathias Ninga, HR Business Partner East and Southern Africa UBA Group, next is Mr. Emeke Iweriebor, Executive Director East and Southern Africa UBA Group, next is the Renowned Olympian Mr.John Akhwari and Right is Mr.Usman Isiaka the Managing Director UBA Tanzania.
1528811804753_IMG-20180611-WA0027
Mr. John Akhwari stressing a point during his visit to UBA Tanzania. On his right hand is Mr. Emeke Iweriebor the Executive Director East and Southern Africa UBA Group.
1528811806107_IMG-20180611-WA0032
UBA Staff members pose with Mr. John Akhwari during his visit to UBA Tanzania Head Office.
1528811807227_IMG-20180611-WA0031
………………………………………………………………………..
On 29th May 2018, Lucky United Bank for Africa – Tanzania staff were visited by a legendary figure from the summer Olympics of 1968, Mr. John Steven Akwari who is famous for his quote “My country did not send me 5,000 miles to start the race; they sent me 5,000 miles to finish the race.”
Executive Director Emeke E. Iweriebor was pleased to host Mr. Akhwari,s as he always referred to his story to motivate the team to making success stories through resilience and commitment.
The ED/RCEO charged all staff members to be strongly committed and positively inclined to creating a difference.
He urged staff to become believers, be resilient and always go the extra miles to achieve exceptional results.
During his dialogue, the ED/RCEO largely used the example of John Steven Akhwari a marathon runner during the 1968 Olympic games in Mexico City. Akhwari was a world class runner of the 1960’s and 1970’s where he participated in different Olympic games across the world. His 1968’s Olympics in Mexico is regarded the most heroic story to date.
This is because during his 42 Kilometre marathon mission Akhwari was Cramped up due to the high altitude of the city. He had not trained at such an altitude back in his country. At the 30 -kilometre point there was jockeying for position between some runners and he was hit. He fell badly wounding his knee and dislocating that joint plus his shoulder hit hard against the pavement.
He however continued running, finishing last among the 57 competitors who completed the race started by 75 runners.
The winner of the marathon was  Mamo Wolde of Ethiopia who  finished in 2:20:26. Akhwari finished in 3:25:27 one hour later when there were only a few thousand people left in the stadium, and the sun had set and television crew sent out.
As he finally crossed the finish line a cheer came from the small crowd. When interviewed later and asked why he continued running, he said, “My country did not send me 5,000 miles to start the race; they sent me 5,000 miles to finish the race.”
During his engagement with UBA- Tanzania staff Mr. Akhwari reminded the agile audience that he did not finish the race to prove a point but simply to ensure that he finished what he was set to do.
Managing Director UBA – Tanzania honoured the iconic figure and urged his staff to always be the first to do things differently saying “the  historical moment demonstrates resilience, consistency and Focus the ultimate goal must be achieved regardless the circumstances and strive to complete what is started and not rely on obstacles as excuses”.
He said each individual is born with an inner talent and it is important to let shine the talent and become more productive than being timid and live without achieving significant results.
During the 1968 race, Akhwari’s body was exhausted but not his spirit; his competitors crossed him one by one but his determination rewarded him in tremendous pain. Akhwari never won any Olympic gold medal but he became the greatest example of never-give-up spirit, and a tale of courage and his story has widely been told across the world especially in education institutions.
John Stephen Akhwari has been honoured and symbolized as the living example of courage and determination. In 1983, he was awarded a National Hero Medal of Honour. In 2000, he was invited to the Olympics in Sydney, Australia and 2008 he was invited in Beijing as a goodwill ambassador to inspire the Olympic athletes for the 2008 Games.

KESHO NI KESHO JIONI KOMBE LA DUNIA NI VITA YA URUSI VS SAUDIA ARABIA

KIPUTE cha Kombe la Dunia kinatarajiwa kuanza kesho kwa wenyejiUrusi kuvaana na Saudia Arabia kwenye mchezo unaosubiriwa kwa hamu kubwa.
Urusi ndiyo wenyeji wa michuano hiyo na wanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri ingawa timu yao haina wachezaji wenye majina makubwa. Mechi hiyo ambayo itaanza saa 12 jioni kwenye Dimba la Luzhinki, inatarajiwa kuonyesha picha halisi ya michuano hiyo itakavyokuwa.
Kesho kutakuwa na mchezo huo tu, ambapo kwenye asilimia Urusi wanapewa 68 za kushinda, huku Saudia Arabia ambayo nayo haina mastaa ikipewa asilimia 10, sare
ikiwa ni asilimia 22. Hofu kwa mashabiki wa Urusi ni kitendo cha nchi yao hiyo kushindwa kushinda mchezo hata mmoja wa kujiandaa na michuano hiyo ingawa wachambuzi wengi wa soka wanaamini kuwa siyo kipimo sahihi.
Timu hiyo iliyopo chini ya kocha Stanislav Cherchesov, ipo Kundi A na Misri, Saudia Arabia wenyewe
na Uruguay ambao wanapewa nafasi kubwa ya kuwika kwenye kundi hilo.
Timu hiyo inamtegemea zaidi mshambuliaji wake Denis Cheryshev ambaye anacheza kwenye kikosi cha Villarreal, lakini pia ikiwa na kipa mkongwe Igor Akinfeev ambaye anakipiga CSKA Moscow ya nchini kwao.

TAZAMA RATIBA YA UHAI CUP U-20,2018 MECHI ZITACHEZWA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

azamu20
KUNDI A:
YANGA
R. SHOOTING
MBEYA CITY
MBAO FC
KUNDI B:
SIMBA
SINGIDA UTD
STAND UTD
NJOMBE MJI
KUNDI C:
AZAM
MTIBWA SUGAR
MWADUI
MAJIMAJI
KUNDI D:
PRISONS
LIPULI FC
KAGERA SUGAR
NDANDA FC

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA KAKAMEGA HOMEBOYZ FC NUSU FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP LEO

Simba 4
1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Zimbwe
4. Paul Bukaba
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. Muzamiru Yassin
9. Mohammed Rashid
10. Rashid Juma
11. Haruna Niyonzima
Benchi
1. Salim Ally
2. Ally Shomari
3. Yusuf Mlipili
4. Mohammed Ibrahim
5. Marcel Kaheza
6. Adam Salamba

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA CECAFA WA SERENGETI BOYS NA TSC, AKABIDHI LA UBINGWA WA LIGI KUU KWA SIMBA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018 

 Uwanja wa Taifa umetapika
 Wachezaji wa Simba na wa Kagera Sugar wakisalimiana
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiingia kukagua wachezaji kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kipa wa Kagera Sugar Juma Kaseja kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana wachezaji wa Kagera Sugar Juma Kaseja kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Simba SC na Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na waamuzi wa  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Simba SC na Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mtoto wa mchezaji wa Simba Kichuya kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakisalimia mashabiki kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Leodegar Tenga kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kagera Sugar Limited Seif Ally Seif kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Wadau wa kandanda wakishuhudia mchezo huo
 Wadau wa kandanda wakishuhudia mchezo huo
 Wadau wa kandanda wakishuhudia mchezo huo
 Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama walikuwepo kushuhudia mchezo huo
 Wadau wa kandanda wakishuhudia mchezo huo
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na vionmgozi wengine wakifuatilia mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Mashabiki wa Simba 
  Mashabiki wa Simba 
  Mashabiki wa Simba 
 Kipute uwanjani
  Mashabiki wa Simba 
  Mashabiki wa Simba 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionmgea na Waziri Mwakyembe wakati wa mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Haji Manara akiwa na wadau wa soka wakifuatilia mchezo
 Msemaji wa Simba De la Boss Haji Manara akionesha furaha ya ubingwa
 Mashabiki wa Simba wakifurahia ubingwa
 Mwali
 Hekaheka langoni pa Kagera Sugar
 Goli lililoiua Simba
 Goli lililoiua Simba
 Goli lililoiua Simba

 Viongozi wa Kagera Sugar wakiwa na Mkurugenzi wa wadhamini Vodacom na Mwenyekiti wa BMT
 Mashabiki wa Simba baada ya timu yao kufungwa goli
 Simamnzi baada ya kufungwa
 Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF Wallace Karia akitoa muhtasari wa shughuli
  Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa Dkt. Harrison Mwakyembe akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Viongozi wakifuatilia hotuba ya Rais
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa Juliana Shonza akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah 'Try Again'
 MC wa shughuli na mtangazaji mkongwe wa TBC Swedi Mwinyi akiangalia mambo kama yanaenda sawa
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodaco kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba Mwenyekiti wa Kagera Sugar Limited Seif Ally Seif kabla ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba Mkurugenzi Mtendaji wa wadhamini Vodacom Ian Ferrao baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba na Mwenyekiti wa BMT Leodegar Tenga baada  ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba Waziri Mwakyembe baada ya  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba Kaimu Rais wa Simba Salim Abdallah baada  ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na msemaji wa Simba Haji Manara baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa kwa hotuba na Naibu Waziri Juliana Shonza baada  ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba  na  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifsalimiana na washindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huko Urusi. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Mshindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huko Urusi. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza nahodha baada ya kukabidhiwa kombe la Mshindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huku Urusi. Hii ilikuwa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Mwali akiwa na wanawali
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wachezaji wa Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar  Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa  kombe toka kwa nahodha  Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar  Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kombe la  Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa  vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar  Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wachezaji wa Kagera Sugar  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao na Simba SC  ambapo Kagera sugar walishinda kwa  bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  

 Kocha hodari wa Kagera Sugar Meck Maxime
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwavisha medali wachezaji wa Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC   baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwavisha medali benchi la ufundi la Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC   baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwavisha medali viongozi na benchi la ufundi la Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC   baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kumvisha medali nahodha John Bocco wa Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC   baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa kukabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia baada ya kukabidhi  kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom kwa nahodha wa Simba SC John Bocco baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
Wachezaji wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa Ligi kuu ya Soka ya Vodacom baada ya mchezo wa kutimiza ratiba klabu hiyo ya Msimbazi na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Tanzania ambayo ni Washindi wa Pili wa michuano ya dunia ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu ambapo Tanzania ilifika fainali na kufungwa bao 1-0 na Brazil huku Urusi. Hii ilikuwa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na viongozi wengine katika picha ya pamoja na timu ya Serengeti Boys ambao ni mabingwa wa Kombe la vijana wa umri wa chini ya miaka 17 wa CECAFA wa  baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo Simba walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na waamuzi wa  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa  Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya pamoja na Klabu Bingwa ya Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018   

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mashabiki wa soka mikono baada ya mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati yao Simba SC na Kagera sugar ambapo walifungwa bao 1-0 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018    

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Dkt HArrison Mwakyembe baada ya kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa TFF Wallace Karia baada ya kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na IGP Simon Sirro baada kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda baada ya kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishukuru kwa kukaribishwa kushuhudia  mchezo wa kutimiza ratiba wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom kati ya Simba SC na Kagera Sugar na kupokea kombe la ubingwa wa CECAFA la U-17 toka kwa Serengeti Boys pamoja na la timu ya vijana wanaoishi kwenye mazingira magumu na kuwakabidhi Simba kombe lao Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumamosi Mei 19, 2018