Wales imevurunda mara mbili nafasi
ya kuibuka washindi, baada ya Austria kupambana na kusawazisha katika
mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2018 ulioshia kwa sare ya
2-2.
Mpira uliopigwa na Joe Allen
uliifanya Wales waongoze huko Vienna, lakini makosa ya kutokuwa makini
kukaba yalimpa nafasi Marko Arnautovic kusawazisha.
Wales walikuwa bahatika kuongeza la
pili baada ya Kevin Wimmer kujifunga goli, laki bada ya takika tatu
tu Arnautovic alisawazisha kutokana na uzembe wa safu ya ulinzi ya
wales.
Arnautovic akisawazisha goli kwa mpira wa kichwa cha chini
Kipa Robert Almer akipangua mpira uliopigwa na Gareth Bale
Gareth Bale akishika kichwa baada ya shuti lake kupanguliwa na Kipa Almer
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni