Mshindi wa tuzo ya Nobel wa mwaka
2016 anatarajiwa kutangazwa baadaye hii leo katika Jiji la Oslo
nchini Norway.
Wanaowania tuzo hiyo kubwa zaidi
duniani wamechaguliwa kutoka kwenye orodha ya wawaniaji 376, huku 228
wakiwa ni watu binafsi na 148 ni taasisi.
Watumishi wa taasisi ya White
Helmets “Helmeti Nyeupe” wanaojihusisha na uokoaji watu kwenye
vifusi vya majengo yanayoshambuliwa na mabomu ni miongoni wa taasisi
zinazopigiwa chapuo kutwa tuzo.
Watumishi wa taasisi ya Helmet Nyeupe wakiwaokoa watoto Syria kutoka kwenye vifusi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni