Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu akimnadi
mgombea Ubunge pamoja na madiwa katika uzinduzi wa kampeni jimbo la
Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika uwanja wa soko kuu jijini
Arusha(Picha zote na Pamela Mollel wa jamiiblog Arusha)
Umati
wa watu uliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za ccm jimbo la Arusha
mjini katika ene la soko kuu jijini Arusha,ambapo rasmi walizindua
kampeni za ubunge na udiwani
Mgombea
ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia chama cha mapinduzi ccm Philemon
Mollel maarufu kwa jina naMonaban akimwaga sera zake katika uzinduzi huo
ambapo alikiri kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo endapo ataibuka
mshindi katika uchaguzi mkuu
Katibu wa CCM wilaya ya Arusha, Ferooz Bano ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi akiongea katika mkutano huo
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Sera Mahusiano na Uratibu Dkt.Mary Nagu
akisalimiana na wananchi waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM
jimbo la Arusha mjini tarehe 5/9/2015 katika eneo la soko kuu jijini
Arusha
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kutoka Arusha mjini, Godfrey Mwalusamba akiongea katika uzinduzi huo
Mbunge viti maalum kundi la wanawake (UWT)Catherine Magige Mkoa wa Arusha akizungumza katika uzinduzi huo
Mbunge viti maalum na Kada maarafu kupitia chama cha Mapinduzi CCM, Violet Mfuko akiongea katika uzinduzi huo
Aliyekuwa
dereva wa Mbunge Lema shubet akiongea jukwaani alisema hamuogopi lema
kwa kuwa mbinu zake zote anazijua hivyo hawezi hata kuua mende nyumbani
kwakwe licha ya kumtangazia atamtumia majambazi nyumbani kwakwe
Mbunge
mstaafu kupitia CCM jimbo la Longido Lekule Laizer maarufu kwa jina la
"kiboko wa wapinzani" akiongea katika uzinduzi huo ,aliwataka wananchi
wa Arusha kumchagua Monaban kwakuwa ni kiongozi muadilifu mwenye sifa ya
kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni