Wasichana 
 wanaounda kundi la cute Babies kutoka Keko  wilaya ya Ilala wakionyesha
 mbwembwe zao wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 
lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika 
kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam 
mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali 
itakayofanyika mwezi wa kumi
 Vijana
 wanaounda kundi la The Winner Crews kutoka Kiwarani  jijini  Dar es 
Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza kwenye onyesho la 
Nusufainali ya  shindano la Dance 100% 2015, wakati wa  Nusu fainali ya 
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na 
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay 
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi 
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi

 Baadhi
 ya mashabiki waliojitokeza kwenye nusu fainali ya shindano la Dance 
100% 2015 wakifuatilia shindano hilo, wakati wa  Nusu fainali ya 
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na 
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay 
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi 
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi
 Kundi
 la Wazawa crew  la Tandale jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri 
wao wa kusakata dansi  wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100%
 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania 
lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar 
es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali 
itakayofanyika mwezi wa kumi
 Vijana
 wanaounda Kundi la WDW la  jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri 

 la Quality Boys la  Temeke jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri 

 Majaiji
 wakiwa kazini kwa ajili ya kupata  makaundi matano bora yaliyoingia 
fainali wakati wa  Nusu fainali ya shindano la Dance 100% 2015 
lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania lilifanyika 
kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay Kinondoni jijini Dar es Salaam 
mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi matano(5)yaliingia fainali 
itakayofanyika mwezi wa kumi.
Baadhi
 ya Vijana wanaounda kundi la Majoker Crew la  Msasani Wilaya ya 
Kinondoni, wakikongo nyoyo za mashabiki wakati wa nusufainali  ya 
shindano la Dance 100% 2015 lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na 
Vodacom Tanzania lilifanyika kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay 
Kinondoni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Ambapo makundi 
matano(5)yaliingia fainali itakayofanyika mwezi wa kumi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni