Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akimuapisha Mh. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimkabidhi hati 
ya kiapo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Nchemba mara 
baada ya kumuapisha  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Charles Tizeba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisaini hati ya 
kiapo mara baada ya kumuapisha Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. 
Charles Tizeba  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri
 wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba na Waziri wa Mambo ya 
Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba wakipongezana mara baada ya kuapishwa  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumuapisha  Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimpongeza Waziri
 wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba mara baada ya kumuapisha 
 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya 
Nchi Mh. Mwigulu Nchemba.
Rais 
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa katika picha
 ya pamoja na Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba 
(kulia) na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba mara 
baada ya kuwaapisha  Ikulu Jijini Dar es Salaam.PICHA NA HASSAN 
SILAYO-MAELEZO








Hakuna maoni:
Chapisha Maoni