Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo katika
mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa
Wilaya ya Dimani CCM kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa
ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi
mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanachama cha
Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani leo wakati alipowasilli katika viwanja vya
CCM Mkoa Amani wakati alipohudhuria katika mkutano wa
Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya
Dimani CCM uliofanyika leo kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa
ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi
mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
Wanachama
Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa
Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya
Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili
ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi
wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.]
2/06/2016.
Wanachama
Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa
Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya
Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya
kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa
marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.
Wanachama
Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakinyoosha mikono juu kuunga mkono
hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akizungumza katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na
Maskani za CCM wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi CCM Mkoa
Amani,kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana
katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,[Picha na
Ikulu.] 2/06/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM
wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa
Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani,
kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika
Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.] 2/06/2016.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni