Kushoto
ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto
wadogo kutoka kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.
Vifaa vya kutoa huduma kwa watoto wadogo vikiwa kwenye toroli maalumu la kuhifadhia katika hospitali hiyo.
Kushoto
ni Mkuu wa Uuguzi na Mazingira ya Ndani, Zuhura Mawona wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili (MNH) akipokea LEO vifaa vya kutoa huduma kwa watoto
wadogo kutoka kwa Mratibu wa Global Health Alliance, Sally Dawit.
Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni