NSSF YAZINDUA KAMPENI YA KUTOA ELIMU KUHUSU MAFAO JIJINI MWANZA

Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati wa zoezi la maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali
za NSSF, ambapo zoezi hilo limeanza katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.
(Na Mpigapicha Wetu)
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Amani Marcel (kushoto), akimkabidhi zawadi ya fulana mwanachama mpya wa
NSSF wakati wa zoezi maalum la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF katika eneo la Buhogwa jijini Mwanza.
 Baadhi ya wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanachama wa NSSF jijini Mwanza.
Baadhi ya wananchi wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanachama wa NSSF jijini Mwanza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni