Katibu Mkuu Wizara ya afya,Dr. Mpoki Mwasumbi akizungumza na wananchi wa kijiji cha Inokainoka wilaya Ngorongoro.
Katibu Mkuu Wizara ya afya Dr. Mpoki Mwasumbi akikabidhiwa jokofu linalotumia umeme wa jua bila ya betri na muwakilishi kutoka Clinton Foundation (CHAI) Dr. Esther Mtumbuka kwa matumizi ya uwifadhi wa madawa katika kituo cha afya cha Inokainoka.
Hii ni moja ya jokofu linalotumia umeme wa jua bila yakutumia betri,zinazotolewa na taasisi ya Clinton Foundation (CHAI) kwa mikoa takribani 15 kwa nchi nzima kwa lengo lakusaidia utuzaji wa madawa kwenye vituo vya afya na Zahanati hususani vijijini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni