Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akizungumza na Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papua New Guinea 
katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea Baada ya kukamilisha ziara 
yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa
 nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific  uliojadili 
masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa 
Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na
 Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa uliomalizika Jana.

akipokea zawadi ya Picha yenye Nembo inayotumika Nchini Papua New Guinea
 kutoka kwa Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papua New Guinea baada 
ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea 
alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John 
Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na
 Pacific  uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa 
ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP 
katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa 
uliomalizika Jana. 
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Nchini Papua New 
Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini 
Guinea alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. 
John Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, 
Caribean na Pacific  uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo 
endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya 
Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa 
kisiasa uliomalizika Jana. (Picha na OMR)
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Nchini Papua New 
Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini 
Guinea alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. 
John Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, 
Caribean na Pacific  uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo 
endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya 
Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa 
kisiasa uliomalizika Jana. (Picha na OMR)
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, 
akizungumza na Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papua New Guinea 
katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea Baada ya kukamilisha ziara 
yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa
 nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific  uliojadili 
masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa 
Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na
 Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa uliomalizika Jana.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni