Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara
uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko
mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John
Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa
kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko
kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa
kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za
nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.
Wananchi
wakimshangilia Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka alipoingia
kwenye mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa
Garden, Kilwa Masoko mkoani Lindi leo jioni
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa hadhara
uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden, Kilwa Masoko
mkoani Lindi. Sendeka amesema, Wapinzania wanadai kwamba Rais Dk. John
Magufuli uongozi wake ni wa Kidikteta, wameamua kujaribu hoja hiyo kwa
kuwa wameishiwa hoja na hata hivyo hoja yao hiyo haiwezi kuwa na mashiko
kwa Watanzania ambao wanaamini Rais Dk. Magufuli anavyofanya sasa
kupasua majipu na kupambana na vitendo vya ufiadi, kufuja rasilimali za
nchi, uzembe na umangimeza ni sahihi.
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwaaga wananchi baada ya kuhutubia
mkutano wa hadhara uliofayika leo jioni katika Viwanja vya Mkapa Garden,
Kilwa Masoko mkoani Lindi. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni